TEA yahamishia makao yake makuu jijini Dodoma


Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) zimehama kutoka jijini Dar es Salaam kwenda makao makuu ya nchi jijini Dodoma. Ofisi zao zipo katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jengo la Ndaki ya Sayansi na Kompyuta na Elimu ya Masafa (CIVE), Ghorofa ya Tatu.

Post a Comment

0 Comments