Rais Samia amwapisha Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt.Boniphace Nalija Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende , Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi wakisaini viapo vyao vya Maadili ya Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news