Rais Samia ashiriki ufunguzi Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani jijini Doha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar leo Oktoba 4, 2022. (Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments