Rais Samia ateta na Kiongozi wa Qatar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kiongozi huyo Doha nchini humo tarehe 04 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali kabla ya kuanza mazungumzo na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022. Aidha, Mhe. Rais Samia pamoja na mwenyeji wake wamezungumzia masuala ya kuimarisha uhusiano na Biashara baina ya Tanzania na Qatar.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Kiongozi wa Taifa la Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Doha nchini humo tarehe 04 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muanzilishi na Mwenyekiti wa Wakfu wa Qatar (Qatar Foundation ) Sheikha Moza binti Nasser, Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news