UNGANA NA CPA BAHATI GEUZYE TUKACHAPE RABA NOVEMBA 12, 2022


MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA), CPA BAHATI GEUZYE ATASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA UNUNUZI WA VITABU VYA MASOMO YA UHASIBU KWA SHULE ZA SERIKALI, MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM SIKU YA NOVEMBA 12, 2022 SAA 12 ASUBUHI.

Post a Comment

0 Comments