Usikose Jumamosi hii, utafahamishwa kuhusu Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita

MADA:Utekelezaji wa Falsafa za Mwalimu Nyerere katika Serikali ya Awamu ya Sita

MUDA: Saa 5 kamili asubuhi, 15/10/2022- (Jumamosi)

LINK: bofya https://bit.ly/3CpUbEa

Au kupitia
Meeting ID: 883 8972 2211
Passcode: 348252

Post a Comment

0 Comments