Spika Dkt.Tulia aongoza kikao muhimu IPU


Spika wa Bunge la Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Kijiografia Kanda ya Afrika la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha kupokea maoni kuhusu kuboresha ushiriki wa Mabunge ya Afrika katika Shughuli na Mikutano ya Umoja huo.

Post a Comment

0 Comments