Aliyetaka kunidhulumu milioni 1/- za matibabu nilizotuma kimakosa amerudisha zaidi

NA MWANDISHI WETU

NI siku ambayo siwezi kuisahau maishani mwangu, siku ambayo mama yangu mzazi aliruhusiwa kurudi nyumbani baada ya kupata matibabu ya upasuaji wa tumbo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Daktari alimpatia dada yangu gharama za matibabu ya mama alizokuwa anatakiwa kulipa na kumuagiza kuwa kuna dawa anatakiwa kwenda nazo nyumbani kwa ajili ya kukausha kidonda.

Dada alinipigia simu na kunieleza kiwango cha pesa ambayo inahitajika kulipwa hospitali ili mama aweze kurudishwa nyumbani pamoja na dawa zinazohitajika kununuliwa.

Kwa kuwa mimi nafanya kazi Mkoa wa Morogoro na mgonjwa alikuwa Dar es Salaam, ilibidi dada anitumie namba yake ya simu ya mkononi ili nimtumie pesa haraka.

Nilitumiwa namba ya simu na bila kuchelewa nikatuma kwa namba ile na kusubiri dada anifahamishe kama amepata pesa. Nilisubiri kwa muda wa saa moja bila kupata taarifa kutoka kwa dada, ikabidi nimpigie simu ila haikupokelewa.

Ikabidi nimpigie kwa namba yake nyingine, akapokea na kuniambia kuwa hajapokea pesa. Ikabidi niitazame tena ile namba na kugundua kuwa nilikuwa nimekosea, badala ya kuandika 55 niliweka 45 kwenye namba.

Ikabidi nikawapigie huduma kwa wateja na kuwaambia kuwa nimetuma pesa kimakosa na kuambiwa nisubiri ndani ya muda wa saa 24 pesa itarudishwa.

Kesho yake asubuhi, huduma kwa wateja wakanitaarifu kuwa pesa ilitolewa jana na mtu aitwaye Peter baada ya kutumwa. Ikabidi nipige ile namba tena ndipo akapokea mwanaume kisha nikamwambia kuwa nimetuma pesa kimakosa naomba nirudishiwe kwa sababu nina mgonjwa hospitali.

Jamaa alikata simu, nikabadilisha namba na kupiga tena, nikamuomba achukue shilingi laki mbili anirudishie shilingi laki saba, bado akakataa na kuniambia hawezi kurudisha kwa sababu mimi ndiyo nimetuma kimakosa.

Majira ya kama saa moja asubuhi, ilibidi nipande basi kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam, ili nikaongee na dokta kama anaweza wamruhusu mimi nikiwa bado nafuatilia pesa yangu niweze kulipia matibabu.

Nilipofika hospitali nilionana na mama pamoja na dada kisha nikaomba kuongea na daktari ili mama arudi nyumbani kwa sababu akibaki hospitali bili itakuwa inazidi kuongezeka kila kukicha.

Jitihada zangu hazikuweza kufanikiwa kulingana na maelezo ya daktari aliyonipatia. Ikabidi nianze kuomba msaada kwa marafiki, ndugu na jamaa ila kila mtu alikuwa anatoa sababu tofauti kuwa hana pesa ya kunisaidia kwa wakati huo.

Siku iliyofuata, nikiwa bado natafuta msaada ndipo rafiki yangu Hamisi akaniambia kuwa kuna mtu anaitwa Dr. Kiwanga anaweza kunisaidia niweze kurudishiwa pesa yangu. Hamisi alinipatia mawasiliano ya Dr. Kiwanga ambayo ni +254 768 875 707.

Muda huo huo nilimpigia Dr. Kiwanga na kumwambia shida yangu, pia nikamueleza kuwa sina uwezo wa kufika ofisini kwake, Nakuru, Kenya ila nahitaji usaidizi wake.

Dr. Kiwanga aliniuliza maswali matatu, nikamjibu vizuri bila shaka na akaniomba ile meseji iliyorudi kwangu baada ya kumtumia yule jamaa pesa. Baada ya siku tatu, Peter, yule jamaa niliyemtumia simu kimakosa alinipigia simu na kuniambia kwamba anaomba nimsamehe kwani ile pesa ilikuwa inamsababishia matatizo makubwa sana.

Nilichomwambia ni kwamba nahitaji anitumie shilingi milioni moja na nusu ili kufidia bili ya matibabu ya mama iliyokuwa imeongezeka kwa zile siku tatu. Baada ya saa mbili, Peter alinitumia pesa nikalipa bili kisha nikampigia Dr. Kiwanga kuwa haki yangu nimeipata.

Katika mazungumzo yetu, Dr. Kiwanga aliniambia kwamba anatibu ugonjwa wa presha, kisukari magonjwa ya zinaa na matatizo ya nguvu za kiume, lakini pia alisema anatatua shida mbalimbali za kimaisha.Unaweza kumpata Dr. Kiwanga kwa namba +254 768 875 707 kwa taarifa zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news