KOCHA WA MAKIPA SIMBA, WENZAKE WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA


Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA),Bw. Gerald Kusaya ametangaza Watuhumiwa tisa wakiongozwa na Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif pamoja na Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Sultan kuhusika kukamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin yenye jumla ya Kilo 34.89.

Kusaya ameyasema hayo leo Novemba 15,2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.Taarifa zaidi zinakujia hapa

Post a Comment

0 Comments