Mchepuko wa mume wangu aliniomba msamaha

NA MWANDISHI WETU

MIMI ninaitwa Amina,nipo kwenye ndoa kwa miaka 15 sasa tangu siku ambayo mimi na mume wangu tulipopata ridhaa ya kuishi wote kutoka pande mbili za wazazi.

Ndani ya hiyo miaka 15 tumeweza kupata watoto wawili tu.Miaka yote hiyo mume wangu hakuwahi kubadilika hata kidogo alinilea vizuri na tulipendana sana kila mmoja wetu alikuwa anamuona mwenzake kuwa ndiye chaguo lake pekee katika ulimwengu huu.

Mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, hivyo aliweza kupata uhamisho wa kutoka Mkoa wa Mwanza kwenda kufanya kazi Mkoa wa Dodoma.

Uhamisho huo ulikuwa umeambatana na kupandishwa cheo kwake,hivyo ilikuwa shangwe na furaha katika mioyo yetu siku hiyo.

Kazini kwake walimpatia wiki mbili za maandalizi ya kwenda ofisi nyingine huko Dodoma,ndani ya hizo siku tuliongea mambo mengi sana na ahadi nyingi na moja wapo kuwa tusisalitiane kwa njia yoyote ile.

Mume wangu alifika Dodoma kazini kama ilivyopangwa,mimi na watoto tulibaki Mkoa wa Mwanza kwa sababu tulikuwa tumejenga huko.

Alipoanza kufanya kazi Mkoa wa Dodoma,maisha yaliendelea vizuri alikuwa anatupa kila kitu ila baada ya miezi saba kupita mume wangu alianza kubadilika hadi ikafikia hatua hapokei simu,nikituma meseji hajibu kwa wakati.

Nilipokuwa namuuliza anasema majukumu ya kikazi yamekuwa mengi, hivyo muda wa kuwa na simu ni mchache,sikuweza kufikiria mbali zaidi ya kukubali kile alichoniambia mume wangu kipenzi na nikaamua niwe namtafuta muda ambao anakuwa ameshatoka kazini hasa muda wa usiku.

Siku moja nilipiga simu akapokea mwanamke na kusema, "mume wangu yupo anaoga,ili apate vitu vitamu vya Dodoma na mbona unasumbua sana kama ni watoto muda si mrefu nampatia mtoto wa kiume.Baki Mwanza ule samaki."

Maneno hayo yalinifanya kuishiwa nguvu kabisa na kugundua kuwa mume wangu ana mwanamke mwingine ndio chanzo cha kuwa na sababu tofauti tofauti hasa nilivyokuwa nampigia simu.

Usiku huo sikuweza kupata usingizi hata kidogo, kesho yake asubuhi nikapiga simu tena mume wangu akapokea kisha nikamueleza mbona jana nimepiga simu akapokea mwanamke? Kwa haraka akanijubu kuwa huyo mke mwenzio na kukata simu yake.

Iliniuma sana hasa ukizingatia kuwa, mume wangu alikuwa hatuudumii tena, nikiomba pesa anasema hana pesa ndipo rafiki yangu akaniambia kuwa kuna Dr.Kiwanga ambaye alimsaidia kurudishiwa pesa zake shilingi milioni 4.5 baada ya kudhulumiwa na mfanyabiashara mwenzake kwa muda wa miaka mitatu.

Nilimuomba mawasiliano ya Dr.Kiwanga akanipatia namba ya simu ambayo ni hii +254 769404965 nikachukua simu yangu na kumpigia Dokta na kueleza shida yangu na jinsi ninavyotaka anisaidie.

Nilizidi kumueleza Dr.Kiwanga kuwa nipo Tanzania hivyo sina uwezo wa kufika Kenya ndipo akanijibu kuwa nitasaidika hata bila kufika ofisini kwake.

Dr.Kiwanga kabla ya kunisaidia aliniuliza baadhi ya maswali kuhusu mume wangu nikamjibu vizuri ndipo akasema kuwa atanisaidia na marriage spell kutatua shida yangu.

Baada ya siku nne kupita niliona namba mpya inanipigia nilipopokea nikasikia sauti ya kike na kujitambulisha kuwa anaitwa Edna kisha kuniomba msamaha kwa kutembea na mume wangu na kuniahidi kuwa hatarudia na pale alipokuwa amempangishia mume wangu amehama na kublock namba ya mume wangu zaidi nilimwambia asante kwa kutambua kuwa yule ni mume wangu tena wa halali.

Kabla sijamaliza kuongea na Edna, mume wangu alinipigia simu na kuniomba msamaha kwa yote yaliyotokea na kuniambia yupo njiani anakuja Mwanza kwa ajili ya kuona familia yake.

Alipofika tuliongea na kisha nikamsamehe mume wangu maana nilimpenda sana na kwa sasa tunaishi vizuri na familia yetu imejaa upendo na furaha kama vile tumeoana jana.Asante Kiwangadoctors kwa huduma yenu.

Katika mazungumzo na Kiwangadoctors alisema wanatatua shida mbalimbali kama kupata cheo kazini,kusafirisha nyota,kupata mimba kwa wale ambao wamekosa,kupata mume au mke kwa wale wasiodumu katika mahusiano, kurudisha upendo na amani katika familia pia wanatibu magonjwa sugu kama sukari,pressure kwa kutumia madawa ya miti shamba.Dr.Kiwanga anapatikana kupitia +254 769404965 muda wowote.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news