Nilikaa miaka sita bila mtoto, sasa nina watoto wawili

NA MWANDISHI WETU 

AWALI ya yote natanguliza shukurani zangu za dhati kwa Kiwangadoctors kwa kuniwezesha na mimi kuitwa mama baada ya kuangaika kwa kipindi cha miaka sita nikiwa kwenye ndoa na bila mtoto.
Kwa sasa nina umri wa miaka 36 na niliolewa nikiwa na miaka 30. Mwanzo kabisa nilipendwa na ndugu na jamaa wa mume wangu,lakini kadiri miaka ilivyozidi kwenda bila kupata mimba,baadhi ya ndugu na jamaa kwa upande wa mume wangu walianza kuwa na visa mbalimbali hasa waliokuwa wanakuja kututembelea hapa Mkoa wa Mwanza wakitoka Bukoba.

Tabia yao sikuipenda ila niliweza kuvumilia kwa sababu tulipendana sana na mume wangu, lakini mimi mwenyewe nilikuwa ninaumia sana hasa mume wangu akienda kazini na mimi nikibaki pekee yangu nilikuwa ninajiuliza kwa nini sijapata mimba muda wote huo.

Baada ya miaka kadhaa kupita tulishauriana mimi na mume wangu twende Hospitali ya Bugando hapa Mwanza ili tuweze kutambua shida ni nini.

Tulifanikiwa kumuona daktari na kupata vipimo vya aina mbalimbali,kulingana na maneno ya Daktari wa Hospitali ya Bugando alisema siwezi kupata mimba kulingana na matokeo ya vipimo vyake na upande wa mume wangu aligundulika kuwa ana uwezo wa kutungisha mimba.

Siku hiyo ilikuwa ni siku mbaya sana maishani mwangu, nilivyokuwa ninamtazama mume wangu,nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunaongea na kupanga watoto wetu tutakaopata na maisha gani tungependa waishi.

Hakika mwili wangu ulipata gansi na kukosa nguvu kabisa.Mume wangu alinifikisha nyumbani kisha akachugua gari lake na kwenda kazini kwake.Baada ya matokeo hayo yalinifanya nikose amani na furaha katika ndoa yangu.

Mume wangu alianza tabia ya kurudi nyumbani amechelewa na muda mwingine alikuwa akilala nje bila kurudi nyumbani. Maumivu yalizidi kila kukicha kwa tabia yake hiyo.

Baada ya miezi sita akiwa na hiyo tabia nilimuuliza mume wangu kipi umekosa kwangu hadi kunifanyia hivi na madharau haya? Mume wangu alijibu;

“Mwanamke gani sasa kazi yako kula na kwenda chooni,wenzio wanazidisha ukoo wao kila mwaka wewe...

Sikuwahi kufikiria kuwa mume wangu anaweza kunijibu hivyo,nilijikuta natokwa na machozi na kukimbilia chumbani.Nikiwa chumbani nalia mume wangu alinifuata na kuniomba msamaha mimi mwenyewe niligundua kuwa ni mawazo ambayo mume wangu anayo kuhusu kupata mtoto bila shaka, nilimsamehee mumeowangu na kumkumbatia kifuani mwake.

Kesho yake asubuhi nilimpigia simu rafiki yangu Jane na kumuomba aje nyumbani. Jane akukawia maana alikuwa anaishi mtaa jirani nikamueleza shida yangu na maneno aliyoyatoa jana mume wangu kwangu, kisa sipati mtoto.

Ndipo Jane aliponambia kuwa muda mrefu kuna dokta yupo Kenya anamjua anaweza kunisaidia.

Baada ya mwezi mmoja niliomba ruhusa mume wangu kwenda Dar es Salaam kumuona Shangazi yangu ila nilitumia nafasi hiyo kwenda na Jane hadi Kenya-Nakuru katika ofisi ya Dr.Kiwanga.

Niliweza kumuona Dokta na kumueleza maisha yangu jinsi yalivyo na kuomba msaada niweze kupata mtoto maana ndiyo chanzo cha mume wangu kubadilika.

Katika mazungumzo Dokta alisema kuwa ana uwezo wa kutibu mtu popote alipo hata bila kufika ofisini kwake Nakuru.

Dokta aliniuliza maswali kadhaa na kuniahidi kuwa atanisaidia na pregnancy spells na nitapata matokeo ndani ya mwezi mmoja.

Baada ya mwezi mmoja nilianza kujihisi kuwa na dalili za mimba na kumwambia mume wangu anipeleke hospitali.Tulifika hospitali ile ile ya Bugando na kupimwa nikaambiwa kuwa nina mimba.

Asante Dokta Kiwanga leo hii mimi ni mama wa watoto wawili na maisha yangu na mume wangu ni mazuri.

Natoa wito kwa mwenye shida kama ya kukosa mtoto, shinikizo la damu, kisukari, kutokuwa na bahati maishani, kuchukiwa hovyo, hali ya uchumi kuwa mbaya, kukosa mpenzi au kusalitiwa mcheki Dokta Kiwanga kwa +254 769404965 unaweza kupata huduma muda wote.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news