Serikali yapokea taarifa ya ukaguzi kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu ya Global Fund (GF-OIAG)

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali,Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya ukaguzi kutoka kwa Wataalam wa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Hesabu ya Mfuko wa Kimataifa Kupiga Vita Ukimwi, TB na Malaria (Global Fund Office of Internal Auditor General; GF- OIAG) kuhusu utekelezaji wa programu za malaria,kifua kikuu, uKIMWI na uimarishaji wa mifumo ya utoaji wa Huduma za Afya chini ya ufadhili wa Global Fund kilichofanyika Novemba 9, 2022 jijini Dodoma.
Meneja Ukaguzi OIG, Global Fund Bw. Andrew Hammond akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mkaguzi Mkuu kutoka OIG Global Fund Bi. Tracy Staines akizungumza wakati wa kikao hicho.
Msimamizi Mikopo wa Global Fund Dkt. Sarah Asiimwe alieleza jambo wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wa Kikao cha kupokea taarifa ya ukaguzi kutoka kwa Wataalam wa Global Fund Office of Internal Auditor General (GF- OIAG) kuhusu utekelezaji wa progrmu za malaria, Kifua Kikuu, UKIMWI na Uimarishaji wa Mifumo ya utoaji wa Huduma za Afya chini ya ufadhili wa Global Fund kilichofanyika Novemba 9, 2022 jijini Dodoma wakifuatilia kikao hicho.(PICHA ZOTE NA OFISI WAZIRI MKUU).

Post a Comment

0 Comments