Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 23,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.14 na kuuzwa kwa shilingi 28.40 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.80 na kuuzwa kwa shilingi 18.96.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 23, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.97 na kuuzwa kwa shilingi 2319.94 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7459.15 na kuuzwa kwa shilingi 7523.48.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.75 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.27 na kuuzwa kwa shilingi 16.43 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 321.92 na kuuzwa kwa shilingi 324.92.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.38 na kuuzwa kwa shilingi 631.60 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.70.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.17 na kuuzwa kwa shilingi 217.24 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.14 na kuuzwa kwa shilingi 134.42.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2357.15 na kuuzwa kwa shilingi 2381.65.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2726.50 na kuuzwa kwa shilingi 2754.93 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 23rd, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3833 631.6027 628.493 23-Nov-22
2 ATS 147.3966 148.7027 148.0497 23-Nov-22
3 AUD 1526.3368 1542.7601 1534.5484 23-Nov-22
4 BEF 50.2784 50.7235 50.501 23-Nov-22
5 BIF 2.1992 2.2158 2.2075 23-Nov-22
6 BWP 176.8667 179.0994 177.983 23-Nov-22
7 CAD 1715.9497 1732.5915 1724.2706 23-Nov-22
8 CHF 2406.4644 2429.7654 2418.1149 23-Nov-22
9 CNY 321.9435 324.9216 323.4325 23-Nov-22
10 CUC 38.3488 43.5915 40.9702 23-Nov-22
11 DEM 920.3712 1046.1962 983.2837 23-Nov-22
12 DKK 317.0071 320.133 318.5701 23-Nov-22
13 DZD 17.0207 17.0228 17.0217 23-Nov-22
14 ESP 12.19 12.2976 12.2438 23-Nov-22
15 EUR 2357.1509 2381.6504 2369.4007 23-Nov-22
16 FIM 341.1207 344.1435 342.6321 23-Nov-22
17 FRF 309.2022 311.9373 310.5697 23-Nov-22
18 GBP 2726.5037 2754.9288 2740.7162 23-Nov-22
19 HKD 293.8918 296.8269 295.3594 23-Nov-22
20 INR 28.1422 28.4045 28.2734 23-Nov-22
21 ITL 1.0475 1.0568 1.0521 23-Nov-22
22 JPY 16.2686 16.4278 16.3482 23-Nov-22
23 KES 18.8045 18.9615 18.883 23-Nov-22
24 KRW 1.6959 1.7114 1.7036 23-Nov-22
25 KWD 7459.1489 7523.4791 7491.314 23-Nov-22
26 MWK 2.0787 2.2388 2.1587 23-Nov-22
27 MYR 502.07 505.9847 504.0274 23-Nov-22
28 MZM 35.3925 35.6914 35.5419 23-Nov-22
29 NAD 99.4321 100.3819 99.907 23-Nov-22
30 NLG 920.3712 928.5331 924.4521 23-Nov-22
31 NOK 225.7953 227.9658 226.8806 23-Nov-22
32 NZD 1413.0961 1428.1551 1420.6256 23-Nov-22
33 PKR 9.7525 10.3108 10.0317 23-Nov-22
34 QAR 745.2722 752.8362 749.0542 23-Nov-22
35 RWF 2.1073 2.1655 2.1364 23-Nov-22
36 SAR 611.2215 617.2516 614.2365 23-Nov-22
37 SDR 2995.3871 3025.341 3010.364 23-Nov-22
38 SEK 215.1668 217.2452 216.206 23-Nov-22
39 SGD 1666.5242 1682.213 1674.3686 23-Nov-22
40 TRY 123.3518 124.5585 123.9551 23-Nov-22
41 UGX 0.5896 0.6187 0.6041 23-Nov-22
42 USD 2296.9703 2319.94 2308.4551 23-Nov-22
43 GOLD 4015150.0186 4055579.9116 4035364.9651 23-Nov-22
44 ZAR 133.1099 134.4207 133.7653 23-Nov-22
45 ZMK 133.1378 138.38 135.7589 23-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4342 23-Nov-22

Post a Comment

0 Comments