Haya hapa mabehewa mapya 22 reli ya zamani

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeanza kufanya majaribio ya mabehewa mapya 22 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya reli ya kati na Kaskazini ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma zake kwa wananchi.

Post a Comment

0 Comments