Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar,Rais Dkt.Mwinyi apokelewa Pemba kwa kishindo


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mikoa ya Pemba waliofika kumlaki katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Chake chake Pemba leo alipofika kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama Cha Mapinduzi CCM. [Picha na Ikulu].

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news