Rais Alhaj Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika sala ya Ijumaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati), viongozi na waumini wa dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi mara baada kujumuika katika sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi leo Desemba 23, 2022.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na viongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Malindi leo mara baada ya kujumuika nao katika sala ya Ijumaa pamoja na waumini mbalimbali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi iliyosaliwa leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news