Rais Dkt.Mwinyi aifariji familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kufiwa na mpendwa wao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipofika kuifariji familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Bi.Yasmin Alloo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiwa na shangazi yake, Bi.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Bi.Yasmin Alloo wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) leo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiwa na shangazi yake, Bi.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Bi.Yasmin Alloo baada ya kumfariji nyumbani kwake Kiponda kwa kufiwa na shangazi yake, Bi.Zainab Esmail Hasham Alloo, aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news