Rais Alhaj Dkt.Mwinyi ashiriki katika maziko ya Sheikh Ali Rijali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiweka udongo kama ishara ya kumzika marehemu Sheikh Ali Rijali alipojumuika na Viongozi,Waislamu na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika maziko ya Sheikh Rijali yaliyofanyika kijijini kwao Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja jiini Zanzibar leo Desemba 20, 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na viongozi na wanafamilia ya marehemu Sheikh Ali Rijali alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Bambi kwa ajili ya kusalia mwili wa marehemu huyo aliyefariki na kuzikwa katika Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika sala ya maiti ya marehemu Sheikh Ali Rijali katika msikiti wa Ijumaa Bambi ambapo amezikwa katika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news