Rais Dkt.Samia aweka rekodi ya mapokezi ya wananchi mkoani Lindi

NA DIRAMAKINI

WAKAZI na wananchi wa Mkoa wa Lindi wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kwa ajili ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye aliwasili mkoani humo kwa ajili ya kushiriki Siku ya Ukimwi Duniani.
































Kwa mujibu wa wananchi wa Lindi waliokua wamevaa sare maalum za Mama Karibu Kusini, wamesema ujio wa sasa wa Rais Dkt.Samia umeweka rekodi ya mapokezi ya Kiongozi Mkuu wa nchi katika Mkoa wa Lindi tangu Tanzania ipate uhuru.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news