Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 15,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2842.59 na kuuzwa kwa shilingi 2872.87 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.12 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 15, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.71 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.49 na kuuzwa kwa shilingi 631.60 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.41 na kuuzwa kwa shilingi 148.72.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.23 na kuuzwa kwa shilingi 2320.2 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7497.97 na kuuzwa kwa shilingi 7565.54.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.93 na kuuzwa kwa shilingi 227.13 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.49 na kuuzwa kwa shilingi 135.79.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2446.32 na kuuzwa kwa shilingi 2471.01.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.785 na kuuzwa kwa shilingi 28.11 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.69 na kuuzwa kwa shilingi 18.85.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.04 na kuuzwa kwa shilingi 17.21 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.59 na kuuzwa kwa shilingi 333.79.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 15th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4875 631.6047 628.5461 15-Dec-22
2 ATS 147.4131 148.7193 148.0662 15-Dec-22
3 AUD 1575.6685 1592.3533 1584.0109 15-Dec-22
4 BEF 50.2841 50.7291 50.5066 15-Dec-22
5 BIF 2.1995 2.216 2.2078 15-Dec-22
6 CAD 1693.3714 1709.801 1701.5862 15-Dec-22
7 CHF 2477.864 2501.2936 2489.5788 15-Dec-22
8 CNY 330.5935 333.7937 332.1936 15-Dec-22
9 DEM 920.4743 1046.3134 983.3939 15-Dec-22
10 DKK 328.8566 332.0976 330.4771 15-Dec-22
11 ESP 12.1914 12.299 12.2452 15-Dec-22
12 EUR 2446.3178 2471.013 2458.6654 15-Dec-22
13 FIM 341.1589 344.1821 342.6705 15-Dec-22
14 FRF 309.2368 311.9722 310.6045 15-Dec-22
15 GBP 2842.5896 2872.8716 2857.7306 15-Dec-22
16 HKD 295.5508 298.491 297.0209 15-Dec-22
17 INR 27.8553 28.1151 27.9852 15-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0569 1.0522 15-Dec-22
19 JPY 17.038 17.2071 17.1225 15-Dec-22
20 KES 18.6919 18.8481 18.77 15-Dec-22
21 KRW 1.7753 1.7921 1.7837 15-Dec-22
22 KWD 7497.969 7565.5406 7531.7548 15-Dec-22
23 MWK 2.079 2.239 2.159 15-Dec-22
24 MYR 523.525 527.918 525.7215 15-Dec-22
25 MZM 35.3964 35.6954 35.5459 15-Dec-22
26 NLG 920.4743 928.6372 924.5557 15-Dec-22
27 NOK 235.7292 238.0156 236.8724 15-Dec-22
28 NZD 1478.266 1493.9768 1486.1214 15-Dec-22
29 PKR 9.7102 10.312 10.0111 15-Dec-22
30 RWF 2.1184 2.1814 2.1499 15-Dec-22
31 SAR 611.0136 616.9596 613.9866 15-Dec-22
32 SDR 3051.2008 3081.7128 3066.4568 15-Dec-22
33 SEK 224.9339 227.1299 226.0319 15-Dec-22
34 SGD 1706.2001 1722.2387 1714.2194 15-Dec-22
35 UGX 0.5977 0.6271 0.6124 15-Dec-22
36 USD 2297.2278 2320.2 2308.7139 15-Dec-22
37 GOLD 4151779.6634 4193668.692 4172724.1777 15-Dec-22
38 ZAR 134.4926 135.7882 135.1404 15-Dec-22
39 ZMW 127.0779 132.1675 129.6227 15-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 15-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news