Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 29,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2444.66 na kuuzwa kwa shilingi 2469.80.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 29, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2775.48 na kuuzwa kwa shilingi 2804.17 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.65 na kuuzwa kwa shilingi 18.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.63 na kuuzwa kwa shilingi 631.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.73.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.39 na kuuzwa kwa shilingi 2320.37 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.42 na kuuzwa kwa shilingi 7575.08.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.18 na kuuzwa kwa shilingi 17.35 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.41 na kuuzwa kwa shilingi 332.59.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.41 na kuuzwa kwa shilingi 222.57 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.83 na kuuzwa kwa shilingi 135.10.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 29th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6354 631.7198 628.6776 29-Dec-22
2 ATS 147.424 148.7302 148.0771 29-Dec-22
3 AUD 1559.7022 1575.7633 1567.7327 29-Dec-22
4 BEF 50.2877 50.7329 50.5103 29-Dec-22
5 BIF 2.1996 2.2162 2.2079 29-Dec-22
6 CAD 1701.9009 1718.4107 1710.1558 29-Dec-22
7 CHF 2477.5111 2501.2073 2489.3592 29-Dec-22
8 CNY 329.4136 332.598 331.0058 29-Dec-22
9 DEM 920.5417 1046.3901 983.4659 29-Dec-22
10 DKK 328.8477 332.0887 330.4682 29-Dec-22
11 ESP 12.1923 12.2999 12.2461 29-Dec-22
12 EUR 2444.6591 2469.8019 2457.2305 29-Dec-22
13 FIM 341.1839 344.2073 342.6956 29-Dec-22
14 FRF 309.2595 311.9951 310.6273 29-Dec-22
15 GBP 2775.4842 2804.1672 2789.8257 29-Dec-22
16 HKD 294.8214 297.7124 296.2669 29-Dec-22
17 INR 27.7537 28.0127 27.8832 29-Dec-22
18 ITL 1.0477 1.057 1.0523 29-Dec-22
19 JPY 17.1858 17.3538 17.2698 29-Dec-22
20 KES 18.6553 18.8113 18.7333 29-Dec-22
21 KRW 1.8129 1.8291 1.821 29-Dec-22
22 KWD 7503.4164 7575.9762 7539.6963 29-Dec-22
23 MWK 2.0948 2.266 2.1804 29-Dec-22
24 MYR 519.7728 524.3774 522.0751 29-Dec-22
25 MZM 35.399 35.698 35.5485 29-Dec-22
26 NLG 920.5418 928.7052 924.6235 29-Dec-22
27 NOK 234.1439 236.3889 235.2664 29-Dec-22
28 NZD 1455.1707 1470.6505 1462.9106 29-Dec-22
29 PKR 9.6359 10.2219 9.9289 29-Dec-22
30 RWF 2.1089 2.1795 2.1442 29-Dec-22
31 SAR 611.2534 617.2018 614.2276 29-Dec-22
32 SDR 3057.3746 3087.9484 3072.6615 29-Dec-22
33 SEK 220.4097 222.5689 221.4893 29-Dec-22
34 SGD 1706.4518 1722.4928 1714.4723 29-Dec-22
35 UGX 0.5921 0.6213 0.6067 29-Dec-22
36 USD 2297.396 2320.37 2308.883 29-Dec-22
37 GOLD 4145099.7785 4187734.1649 4166416.9717 29-Dec-22
38 ZAR 133.8302 135.1056 134.4679 29-Dec-22
39 ZMW 124.0108 128.7664 126.3886 29-Dec-22
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 29-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news