Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 6,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2819.72 na kuuzwa kwa shilingi 2848.15 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.44 na kuuzwa kwa shilingi 631.65 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.41 na kuuzwa kwa shilingi 148.71.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 6, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.13 na kuuzwa kwa shilingi 2320.1 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7488.60 na kuuzwa kwa shilingi 7561.02.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.19 na kuuzwa kwa shilingi 225.36 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.09 na kuuzwa kwa shilingi 134.39.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.75 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2427.37 na kuuzwa kwa shilingi 2452.58.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.98 na kuuzwa kwa shilingi 17.15 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.63 na kuuzwa kwa shilingi 333.87.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.09 na kuuzwa kwa shilingi 28.35 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.74 na kuuzwa kwa shilingi 18.89.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 6th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4435 631.6463 628.5449 06-Dec-22
2 ATS 147.4068 148.713 148.0599 06-Dec-22
3 AUD 1562.7367 1578.8281 1570.7824 06-Dec-22
4 BEF 50.2819 50.7269 50.5044 06-Dec-22
5 BIF 2.1994 2.216 2.2077 06-Dec-22
6 CAD 1712.9968 1729.6108 1721.3038 06-Dec-22
7 CHF 2459.1893 2482.7181 2470.9537 06-Dec-22
8 CNY 330.6268 333.8754 332.2511 06-Dec-22
9 DEM 920.4346 1046.2683 983.3515 06-Dec-22
10 DKK 326.4637 329.6955 328.0796 06-Dec-22
11 ESP 12.1909 12.2984 12.2447 06-Dec-22
12 EUR 2427.3759 2452.5777 2439.9768 06-Dec-22
13 FIM 341.1442 344.1672 342.6557 06-Dec-22
14 FRF 309.2236 311.9588 310.5912 06-Dec-22
15 GBP 2819.7255 2848.1547 2833.9401 06-Dec-22
16 HKD 295.7169 298.6663 297.1916 06-Dec-22
17 INR 28.0891 28.3509 28.22 06-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0568 1.0522 06-Dec-22
19 JPY 16.9831 17.1504 17.0667 06-Dec-22
20 KES 18.7368 18.8933 18.8151 06-Dec-22
21 KRW 1.7713 1.7857 1.7785 06-Dec-22
22 KWD 7488.6021 7561.0233 7524.8127 06-Dec-22
23 MWK 2.0789 2.2389 2.1589 06-Dec-22
24 MYR 526.1403 530.6725 528.4064 06-Dec-22
25 MZM 35.3949 35.6939 35.5444 06-Dec-22
26 NLG 920.4346 928.5972 924.5159 06-Dec-22
27 NOK 235.364 237.6446 236.5043 06-Dec-22
28 NZD 1471.7703 1487.4161 1479.5932 06-Dec-22
29 PKR 9.7466 10.3116 10.0291 06-Dec-22
30 RWF 2.1075 2.1575 2.1325 06-Dec-22
31 SAR 611.1823 617.1299 614.1561 06-Dec-22
32 SDR 3051.4139 3081.9281 3066.671 06-Dec-22
33 SEK 223.1956 225.3574 224.2765 06-Dec-22
34 SGD 1703.3433 1719.2293 1711.2863 06-Dec-22
35 UGX 0.5936 0.6228 0.6082 06-Dec-22
36 USD 2297.1288 2320.1 2308.6144 06-Dec-22
37 GOLD 4121738.0496 4163326.646 4142532.3478 06-Dec-22
38 ZAR 133.0997 134.3895 133.7446 06-Dec-22
39 ZMW 129.7737 134.7329 132.2533 06-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 06-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news