Maendeleo kila mahali Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo baada ya kufungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba. Ufunguzi huo umefanyika Januari Mosi, 2023 katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kulia ni Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi, wa tatu kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe.Lela Mohamed Mussa.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Mzee Ali Hamad Makame aliyefika katika katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na viongozi na wananchi wa Mwambe na vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na viongozi na wananchi wa Mwambe na vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wa Mwambe na vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza nao katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Viongozi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba alipotembelea Skuli ya Msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kuifungua katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) alipotembelea madarasa baada ya kuifungua Skuli ya Msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wa pili kulia ni Mke wa Rais, Mama Mariam Mwinyi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news