Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa akabidhiwa pikipiki 25 kwa ajili ya makatibu kata na jumuiya za chama

NA MWANDISHI WETU

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Disemba 31, 2022 amemkabidhi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro pikipiki 25 kwa ajili Makatibu kata wa CCM katika kata zote 22 na Jumuiya za CCM ngazi ya Wilaya ambazo ni UVCCM, UWT na Wazazi.
Akizungumza baada ya kukabidhi pikipiki hizo Ndugu Majaliwa amewataka kuzitumia kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM wilayani Ruangwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news