Rais Dkt.Samia ahutubia Sherehe za Mwaka Mpya (Diplomatic Sherry Party)

Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa katika Sherehe za Mwaka Mpya (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa katika Sherehe za Mwaka Mpya (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2023 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax, viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka Mpya 2023 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa walioshiriki katika Sherehe za Mwaka Mpya 2023 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news