Rais Dkt.Samia awashirikisha wawekezaji fursa zilizopo nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifafanua fursa mbalimbali za Uwekezaji zinazopatikana nchini kwenye mkutano wa kuitangaza Tanzania uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

Post a Comment

0 Comments