Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Mbunge wa Jimbo la Amani Abdul Yussuf Maalim, akila kiapo Bungeni jijini Dodoma, Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Jimbo la Amani Abdul Yussuf Maalim, baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma, Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt Pindi Chana, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma. Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma. Januari 31 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments