Wizara ya Ardhi Zanzibar, wadau wajadili Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM), Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji (kushoto) na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa, Bi.Areste Lamendour wakiwa katika kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM), Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji (kati ) na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa Bi Areste Lamendour ( watatu kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam.

Wakurugenzi Kamisheni ya Ardhi Zanzibar, wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM), wakiwa katika kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam, kikao hicho kiliongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa Bi Areste Lamendour.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news