Rais Dkt.Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 11, 2023 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments