Rais Dkt.Samia amuapisha Dkt.Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt.Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments