Wachangamkia fursa za utalii Ujerumani

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar.Mhe.Simai Mohammed Said akiwa katika majadiliano na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dk. Abdalla Possi, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo, Mkurugenzi wa TTB Bw.Damas Mfugale na Mkurugenzi Masoko wa ZCT,wakiwa katika maoenesha ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii yanayofanyika jijini Berlin nchini Ujerumani.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo akiwa katika majadiliano na Mdau wa Sekta ya Utalii wakati wa Maonesho ya Utalii yanayofanyika jijini Berlin nchini Ujerumani.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, akiwa katika mazungumzo na Mdau wa Sekta ya Utalii (kulia kwake) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayofanyika jijini Berlin nchini Ujerumani na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bw. Rahim Bhaloo. wakiwa katika maonesho ya Sekta ya Utalii.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe.Dkt. Abdalla Possi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar,Mhe.Simai Mohammed Said (kushoto kwake) na viongozi wa wa Sekta ya Utalii Tanzania, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayofanyika Berlin nchini Ujerumani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news