BRELA yawapa darasa wachimbaji wadogo wa madini

Afisa Leseni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Fransice Filimbi, akitoa mada kuhusu umuhimu wa kupata Leseni za Viwanda, Kusajili Viwanda Vidogo pamoja na huduma za sajili nyingine zinazotolewa na BRELA, katika mkutano wa wachimbaji Wadogo wa Madini na Wadau wa Madini ya Viwandani. 
Mkutano huo wa siku mbili ulioanza jana tarehe 5, Aprili, 2023 na kufunguliwa na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb), umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news