Rais Dkt.Mwinyi apeleka tabasamu kwa wafanyakazi wa Serikali

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameagiza malipo ya mishahara kwa mwezi Aprili, mwaka huu kufanyika mapema kuanzia tarehe 14 kwa wafanyakazi wa Serikali, kwa ajili ya matayarisho ya Sikukuu ya Eid El Fitr. 
Hatua hiyo imelenga kuwapa Wafanyakazi wa Serikali muda wa kutosha wa kufanya maandalizi ya sherehe za Eid.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news