Dkt.Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Mei 21, 2023 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments