DKT.YONAZI ATEMBELEA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA DODOMA

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU( SERA, BUNGE NA URATIBU), DKT. JIM YONAZI AMETEMBELEA NA KUKAGUA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA (EOCC) KILICHO CHINI YA IDARA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KATIKA OFISI YAKE JIJINI DODOMA TAREHE 26 MEI, 2023.

Post a Comment

0 Comments