IJP Wambura aongoza kikao cha kupima utendaji kazi

NA MWANDISHI WETU

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IJP Camillus Wambura, Mei 25, 2023 aliongoza kikao cha 15 cha kupima utendaji kazi kilichohusisha maofisa wakuu waandamizi wa makao makuu ya polisi, makamanda wa polisi wa vikosi na vyuo jijini Dodoma.
Katika kikao hicho walijadili mafanikio yaliyopatikana, changamoto kwa kipindi kilichopita, muono mbele na kuweka mikakati ya kutekeleza majukumu ya Jeshi la Polisi kwa ufanisi zaidi katika kubaini,kuzuia na kutanzua uhalifu.
Vikao vya aina hii hufanyika mara nne kwa mwaka. Picha na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news