Rais Dkt.Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri leo Mei 24, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa jengo hilo Jumamosi ya Mei 20, 2023.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments