Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 30, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.68 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 30, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.31 na kuuzwa kwa shilingi 215.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 117.37 na kuuzwa kwa shilingi 118.51.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2307.29 na kuuzwa kwa shilingi 2330.36 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7502.15 na kuuzwa kwa shilingi 7574.71.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2848.81 na kuuzwa kwa shilingi 2878.23 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.33 na kuuzwa kwa shilingi 634.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.06 na kuuzwa kwa shilingi 149.37.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2472.95 na kuuzwa kwa shilingi 2497.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.46 na kuuzwa kwa shilingi 16.62 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 326.09 na kuuzwa kwa shilingi 329.30.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1509.43 na kuuzwa kwa shilingi 1525.92 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3063.15 na kuuzwa kwa shilingi 3093.79.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1697.91 na kuuzwa kwa shilingi 1714.38 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2555.98 na kuuzwa kwa shilingi 2580.69.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 30th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.329 634.5432 631.4361 30-May-23
2 ATS 148.0587 149.3705 148.7146 30-May-23
3 AUD 1509.4272 1525.9197 1517.6735 30-May-23
4 BEF 50.5043 50.9513 50.7278 30-May-23
5 BIF 2.2091 2.2258 2.2174 30-May-23
6 CAD 1697.908 1714.3824 1706.1452 30-May-23
7 CHF 2555.9844 2580.6866 2568.3355 30-May-23
8 CNY 326.0907 329.3051 327.6979 30-May-23
9 DEM 924.505 1050.8952 987.7001 30-May-23
10 DKK 332.0125 335.2843 333.6484 30-May-23
11 ESP 12.2448 12.3528 12.2988 30-May-23
12 EUR 2472.9503 2497.9129 2485.4316 30-May-23
13 FIM 342.6528 345.6892 344.171 30-May-23
14 FRF 310.591 313.3384 311.9647 30-May-23
15 GBP 2848.8074 2878.2276 2863.5175 30-May-23
16 HKD 294.699 297.6346 296.1668 30-May-23
17 INR 27.938 28.1986 28.0683 30-May-23
18 ITL 1.0522 1.0615 1.0569 30-May-23
19 JPY 16.4583 16.6193 16.5388 30-May-23
20 KES 16.6772 16.8196 16.7484 30-May-23
21 KRW 1.7453 1.7599 1.7526 30-May-23
22 KWD 7502.1529 7574.7115 7538.4322 30-May-23
23 MWK 2.088 2.2488 2.1684 30-May-23
24 MYR 501.3661 505.7205 503.5433 30-May-23
25 MZM 35.5515 35.8517 35.7016 30-May-23
26 NLG 924.505 932.7036 928.6043 30-May-23
27 NOK 207.7383 209.7363 208.7373 30-May-23
28 NZD 1399.3696 1413.5964 1406.483 30-May-23
29 PKR 7.6842 8.1652 7.9247 30-May-23
30 RWF 2.0329 2.0845 2.0587 30-May-23
31 SAR 615.2766 621.3962 618.3364 30-May-23
32 SDR 3063.1544 3093.786 3078.4702 30-May-23
33 SEK 213.3098 215.3772 214.3435 30-May-23
34 SGD 1705.9424 1722.1106 1714.0265 30-May-23
35 UGX 0.5934 0.6226 0.608 30-May-23
36 USD 2307.2872 2330.36 2318.8236 30-May-23
37 GOLD 4489997.8264 4535934.8148 4512966.3206 30-May-23
38 ZAR 117.375 118.5066 117.9408 30-May-23
39 ZMW 116.8704 119.2 118.0352 30-May-23
40 ZWD 0.4317 0.4405 0.4361 30-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news