Waziri Mkuu amuwakilisha Rais Dkt.Samia katika maziko ya Mheshimiwa Bernard Membe

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe iliyofanyika kijijini kwake Rondo, Chiponda Mkoani Lindi.







Akizungumza na waombolezaji katika ibada hiyo Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe wakati wa uhai wake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news