Yajayo Zanzibar chini ya Rais Dkt.Mwinyi ni zaidi ya neema

Nahodha wetu amejitolea kwa dhati kuwatumikia Wazanzibari na kuinua hali ya Zanzibar bila kujali dini, kabila na chama. Katika kuleta mageuzi hayo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameanza kuibadilisha Zanzibar katika nyanja mbalimbali ili kuinua maisha ya Wazanzibari.

Aidha, Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi amelenga kuimarisha sekta ya michezo kwa kuwekeza katika ujenzi wa viwanja vipya na kuboresha vya zamani, kuendeleza talanta za vijana na kuboresha mazingira ya michezo. Juu ni muonekano wa Uwanja wa Amaan uliopo jijini Zanzibar ambao unaendelea na ujenzi kwa sasa na ukikamilika, utafanana namna hiyo.

Post a Comment

0 Comments