Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 24,2023

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amesema, Mwanafunzi Ester Mwanyilu wamemkamata maeneo ya Ifisi, Mbalizi Mbeya na alipelekwa maeneo hayo na mfanyabiashara wa mkaa aliyefahamika kwa jina la Baba Jose.

Kamanda Kuzaga amesema ” leo majira ya Saa tano na dakika 30 amepatikana Ifisi katika mji mdogo wa mbalizi baada ya timu ya makachero iliyoongozwa na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya na Ofisi yangu.”











Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news