Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 25,2023


Serikali imetangaza mkakati wake wa kuboresha usafiri katika Jiji la Dar es Salaam, kwa kuendeleza mradi wa usafiri wa mabasi yaendayo haraka (DART).Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza Juni 24, 2023 jijini Dar es Salaam amesema serikali kwa kutambua umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya jiji la Dar es Salaam, wameanza utekelezaji wa awamu ya tatu ya mradi barabara ya mabasi yaendayo haraka na utahusisha kilomita 24.3












Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news