Huu hapa Mkataba wa Huduma kwa Wateja 2023, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

MADHUMUNI ya Mkataba ni kuutarifu Umma kuhusu aina, viwango na ubora wa huduma zinazotolewa na Wizara ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mkataba unalenga kuwajengea watumishi mtazamo chanya wa kuwahudumia Wateja kwa kuwajali na kutoa huduma bora zinazokidhi matarajio yao pamoja na kuongeza uwajibikaji kwa watumishi wanaotoa huduma.
Aidha, Mkataba unatoa utaratibu kwa Umma kuhusu njia zitakazo tumika kutoa mrejesho endapo huduma zitolewazo hazitakidhi matarajio yao. Mkataba umeainisha wajibu wa Wizara na Mteja na haki ya Mteja ili aweze kupatiwa huduma bora.





















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news