Rais Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika ibada Msikiti wa Ijumaa Miembeni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar alipofika kujumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya sala liyofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume,mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar leo.((Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news