Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 6, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1523.08 na kuuzwa kwa shilingi 1538.78 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3080.34 na kuuzwa kwa shilingi 3111.14.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 6, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1717.95 na kuuzwa kwa shilingi 1735 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2532.64 na kuuzwa kwa shilingi 2556.84.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.63 na kuuzwa kwa shilingi 16.77 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 211.59 na kuuzwa kwa shilingi 213.65 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 119.27 na kuuzwa kwa shilingi 120.37.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2308.75 na kuuzwa kwa shilingi 2331.84 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7501.55 na kuuzwa kwa shilingi 7573.61.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2856.62 na kuuzwa kwa shilingi 2885.88 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.68 na kuuzwa kwa shilingi 634.84 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.15 na kuuzwa kwa shilingi 149.46.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2464.82 na kuuzwa kwa shilingi 2489.94.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.47 na kuuzwa kwa shilingi 16.63 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.27 na kuuzwa kwa shilingi 327.49.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 6th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.6767 634.8425 631.7596 06-Jun-23
2 ATS 148.1527 149.4655 148.8091 06-Jun-23
3 AUD 1523.084 1538.7812 1530.9326 06-Jun-23
4 BEF 50.5363 50.9837 50.76 06-Jun-23
5 BIF 2.2105 2.2272 2.2188 06-Jun-23
6 CAD 1717.9496 1735 1726.4748 06-Jun-23
7 CHF 2532.6377 2556.8421 2544.7399 06-Jun-23
8 CNY 324.2676 327.4872 325.8774 06-Jun-23
9 DEM 925.0922 1051.5626 988.3274 06-Jun-23
10 DKK 330.9612 334.223 332.5921 06-Jun-23
11 ESP 12.2526 12.3607 12.3066 06-Jun-23
12 EUR 2464.8241 2489.9387 2477.3814 06-Jun-23
13 FIM 342.8705 345.9087 344.3896 06-Jun-23
14 FRF 310.7882 313.5374 312.1628 06-Jun-23
15 GBP 2856.6194 2885.8852 2871.2523 06-Jun-23
16 HKD 294.5664 297.5044 296.0354 06-Jun-23
17 INR 27.9382 28.1988 28.0685 06-Jun-23
18 ITL 1.0529 1.0622 1.0575 06-Jun-23
19 JPY 16.4723 16.6358 16.554 06-Jun-23
20 KES 16.6337 16.7758 16.7048 06-Jun-23
21 KRW 1.7674 1.7844 1.7759 06-Jun-23
22 KWD 7501.5514 7573.614 7537.5827 06-Jun-23
23 MWK 2.0986 2.2376 2.1681 06-Jun-23
24 MYR 504.6454 509.1354 506.8904 06-Jun-23
25 MZM 35.574 35.8744 35.7242 06-Jun-23
26 NLG 925.0922 933.296 929.1941 06-Jun-23
27 NOK 208.1683 210.2063 209.1873 06-Jun-23
28 NZD 1397.257 1412.1624 1404.7097 06-Jun-23
29 PKR 7.669 8.1476 7.9083 06-Jun-23
30 RWF 2.0193 2.0715 2.0454 06-Jun-23
31 SAR 615.6345 621.7577 618.6961 06-Jun-23
32 SDR 3080.3375 3111.1409 3095.7392 06-Jun-23
33 SEK 211.5967 213.6539 212.6253 06-Jun-23
34 SGD 1707.2784 1723.7138 1715.4961 06-Jun-23
35 UGX 0.5934 0.6227 0.608 06-Jun-23
36 USD 2308.7524 2331.84 2320.2962 06-Jun-23
37 GOLD 4477161.8902 4523463.4294 4500312.6598 06-Jun-23
38 ZAR 119.271 120.3704 119.8207 06-Jun-23
39 ZMW 113.5356 117.9186 115.7271 06-Jun-23
40 ZWD 0.432 0.4408 0.4364 06-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news