Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 8, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2474.60 na kuuzwa kwa shilingi 2500.28.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 8, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.55 na kuuzwa kwa shilingi 16.71 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.54 na kuuzwa kwa shilingi 327.67.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1544.43 na kuuzwa kwa shilingi 1560.34 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3069.23 na kuuzwa kwa shilingi 3099.93.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1723.45 na kuuzwa kwa shilingi 1740.17 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2549.69 na kuuzwa kwa shilingi 2574.05.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.61 na kuuzwa kwa shilingi 16.75 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 212.95 na kuuzwa kwa shilingi 215.02 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 121.19 na kuuzwa kwa shilingi 122.35.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2309.26 na kuuzwa kwa shilingi 2332.35 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7506.61 na kuuzwa kwa shilingi 7579.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2878.72 na kuuzwa kwa shilingi 2908.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.74 na kuuzwa kwa shilingi 634.98 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 148.18 na kuuzwa kwa shilingi 149.49.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 8th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.7458 634.9814 631.8636 08-Jun-23
2 ATS 148.1851 149.4981 148.8416 08-Jun-23
3 AUD 1544.4314 1560.3422 1552.3868 08-Jun-23
4 BEF 50.5474 50.9948 50.7711 08-Jun-23
5 BIF 2.211 2.2277 2.2193 08-Jun-23
6 CAD 1723.4551 1740.1701 1731.8126 08-Jun-23
7 CHF 2549.6935 2574.0537 2561.8736 08-Jun-23
8 CNY 324.5391 327.6693 326.1042 08-Jun-23
9 DEM 925.2945 1051.7926 988.5435 08-Jun-23
10 DKK 332.2625 335.5561 333.9093 08-Jun-23
11 ESP 12.2553 12.3634 12.3093 08-Jun-23
12 EUR 2474.6002 2500.2792 2487.4397 08-Jun-23
13 FIM 342.9454 345.9844 344.4649 08-Jun-23
14 FRF 310.8562 313.606 312.2311 08-Jun-23
15 GBP 2878.7203 2908.4405 2893.5804 08-Jun-23
16 HKD 294.5256 297.4632 295.9944 08-Jun-23
17 INR 27.9948 28.2672 28.131 08-Jun-23
18 ITL 1.0531 1.0624 1.0578 08-Jun-23
19 JPY 16.5503 16.7146 16.6324 08-Jun-23
20 KES 16.6074 16.7494 16.6784 08-Jun-23
21 KRW 1.7751 1.7921 1.7836 08-Jun-23
22 KWD 7506.6067 7579.2091 7542.9079 08-Jun-23
23 MWK 2.0898 2.2508 2.1703 08-Jun-23
24 MYR 502.5588 507.0326 504.7957 08-Jun-23
25 MZM 35.5817 35.8823 35.732 08-Jun-23
26 NLG 925.2945 933.5001 929.3973 08-Jun-23
27 NOK 209.5534 211.5914 210.5724 08-Jun-23
28 NZD 1400.5646 1415.5032 1408.0339 08-Jun-23
29 PKR 7.6582 8.1258 7.892 08-Jun-23
30 RWF 2.0198 2.085 2.0524 08-Jun-23
31 SAR 615.802 621.9268 618.8644 08-Jun-23
32 SDR 3069.234 3099.9264 3084.5802 08-Jun-23
33 SEK 212.9486 215.0186 213.9836 08-Jun-23
34 SGD 1714.88 1731.9002 1723.3901 08-Jun-23
35 UGX 0.5951 0.6245 0.6098 08-Jun-23
36 USD 2309.2574 2332.35 2320.8037 08-Jun-23
37 GOLD 4523581.2788 4569540.12 4546560.6994 08-Jun-23
38 ZAR 121.1928 122.347 121.7699 08-Jun-23
39 ZMW 112.7431 114.3197 113.5314 08-Jun-23
40 ZWD 0.4321 0.4409 0.4365 08-Jun-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news