Dkt.Nchemba ashiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji SADC


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kushoto na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe (MB), wakishiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika Mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC).


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Fedha na Uwekazaji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa SADC uliohusu Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya hiyo, uliofanyika mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC).(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Kinshasa, Congo DRC).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news