Rais Dkt.Samia ateta na ujumbe kutoka India

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 8 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi, Ikulu jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news