Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 25, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.27 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 25, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1596.30 na kuuzwa kwa shilingi 1612.99 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3192.85 na kuuzwa kwa shilingi 3224.78.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 228.29 na kuuzwa kwa shilingi 230.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.03 na kuuzwa kwa shilingi 134.32.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2372.28 na kuuzwa kwa shilingi 2396 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7731.32 na kuuzwa kwa shilingi 7806.08.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3043.87 na kuuzwa kwa shilingi 3075.03 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 645.89 na kuuzwa kwa shilingi 652.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.23 na kuuzwa kwa shilingi 153.58.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2631.57 na kuuzwa kwa shilingi 2658.36.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.82 na kuuzwa kwa shilingi 16.98 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.00 na kuuzwa kwa shilingi 333.21.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.86 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1799.49 na kuuzwa kwa shilingi 1817.22 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2742.83 na kuuzwa kwa shilingi 2768.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 25th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 645.8867 652.2923 649.0895 25-Jul-23
2 ATS 152.2291 153.5779 152.9035 25-Jul-23
3 AUD 1596.3053 1612.9872 1604.6463 25-Jul-23
4 BEF 51.9268 52.3865 52.1567 25-Jul-23
5 BIF 2.2713 2.2884 2.2799 25-Jul-23
6 BWP 180.5303 183.0544 181.7923 25-Jul-23
7 CAD 1799.4973 1817.2165 1808.3569 25-Jul-23
8 CHF 2742.8341 2768.9819 2755.908 25-Jul-23
9 CNY 330.0009 333.2082 331.6045 25-Jul-23
10 CUC 39.6061 45.0207 42.3134 25-Jul-23
11 DEM 950.5458 1080.4961 1015.5209 25-Jul-23
12 DKK 353.2119 356.6909 354.9514 25-Jul-23
13 DZD 19.5465 19.6593 19.6029 25-Jul-23
14 ESP 12.5897 12.7008 12.6452 25-Jul-23
15 EUR 2631.5671 2658.362 2644.9646 25-Jul-23
16 FIM 352.3044 355.4263 353.8654 25-Jul-23
17 FRF 319.3395 322.1643 320.7519 25-Jul-23
18 GBP 3043.8689 3075.0264 3059.4477 25-Jul-23
19 HKD 303.6243 306.6527 305.1385 25-Jul-23
20 INR 29.002 29.2723 29.1372 25-Jul-23
21 IQD 0.244 0.2457 0.2448 25-Jul-23
22 IRR 0.0084 0.0085 0.0084 25-Jul-23
23 ITL 1.0818 1.0914 1.0866 25-Jul-23
24 JPY 16.8235 16.9857 16.9046 25-Jul-23
25 KES 16.718 16.8614 16.7897 25-Jul-23
26 KRW 1.8534 1.8714 1.8624 25-Jul-23
27 KWD 7731.3167 7806.0859 7768.7013 25-Jul-23
28 MWK 2.0925 2.2646 2.1785 25-Jul-23
29 MYR 519.0979 523.7158 521.4069 25-Jul-23
30 MZM 36.8824 37.1934 37.0379 25-Jul-23
31 NAD 100.9253 101.8619 101.3936 25-Jul-23
32 NLG 950.5458 958.9754 954.7606 25-Jul-23
33 NOK 235.2283 237.5005 236.3644 25-Jul-23
34 NZD 1469.863 1485.0408 1477.4519 25-Jul-23
35 PKR 7.832 8.3194 8.0757 25-Jul-23
36 QAR 836.2277 843.5129 839.8703 25-Jul-23
37 RWF 2.0101 2.0599 2.035 25-Jul-23
38 SAR 632.5229 638.746 635.6344 25-Jul-23
39 SDR 3192.8479 3224.7764 3208.8122 25-Jul-23
40 SEK 228.2924 230.4733 229.3828 25-Jul-23
41 SGD 1783.1308 1800.2855 1791.7082 25-Jul-23
42 TRY 88.0568 88.9044 88.4806 25-Jul-23
43 UGX 0.6257 0.6564 0.641 25-Jul-23
44 USD 2372.2772 2396 2384.1386 25-Jul-23
45 GOLD 4653672.5149 4701191.6 4677432.0574 25-Jul-23
46 ZAR 133.0348 134.3192 133.677 25-Jul-23
47 ZMK 118.6139 123.1877 120.9008 25-Jul-23
48 ZWD 0.4439 0.4529 0.4484 25-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news