Rais Dkt.Samia ateta na Rais wa Indonesia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo akizungumza na Wanahabari wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo na Ujumbe wake yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo na Ujumbe wake yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa Nishati na Madini wa Indonesia Mhe. Arifin Tasrif Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stergomena Tax na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Mhe. Retno L.P Marsodi Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya (TPDC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news